1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Pakistan

Pakistan iliundwa kutokana na kugawanywa na bara dogo la India mwaka 1947, ili kukidhi mahitaji ya Waislamu waliotaka kuwa eneo lao wenyewe.

Awali Pakistan ilikuwa na sehemu mbili – upande wa mashariki – ndiyo Bangladesh ya sasa, na upande wa magharibi ndiyo Pakistan ya sasa. Kuvunjika kwa pande hizo mbili kulikuja mwaka 1971, wakati upande wa mashariki unaozungumza lugha ya Benghali ulipojitenga kwa kusaidiwa na India. Pakistan ina waumini wengi wa Kiislamu wanaofuata madhebu ya Sunni na Washia na Wakristo wachache.

Onesha makala zaidi