Historia ya vita vya Syria na ukuaji wa kundi la IS. | Mada zote | DW | 15.12.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Historia ya vita vya Syria na ukuaji wa kundi la IS.

Ingawa uwepo wa kundi la IS ulisukuma jumuiya za kimataifa kuingilia mzozo wa Syria, kundi hilo lilijiingiza kwenye mzozo huo baadae. DW inaangazia namna gani vita hivyo vimetoa mwanya kwa kundi hilo kujitanua.