Haki za Watoto – Kipindi 01 – Wanajeshi Watoto22.03.201122 Machi 2011Katika kipindi chetu cha kwanza, tunakutana na Kisembo na Umirembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Walipokuwa na umri wa miaka 13 na 12, waligeuzwa kuwa wauaji kwenye mzozo usio na huruma ambao hawakuusababisha.https://p.dw.com/p/QqtVMatangazo