Ghasia zaendelea nchini Ugiriki baada ya kuuwawa kijana wa miaka 15 | Matukio ya Kisiasa | DW | 09.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Ghasia zaendelea nchini Ugiriki baada ya kuuwawa kijana wa miaka 15

Hali ya ghasia na machafuko inaendelea katika miji mikuu ya nchini Ugiriki kutokana na kuuwawa kwa kijana mmoja wa miaka 15 na polisi jumamosi iliyopita.

Uharibifu uliofanywa na waandamanaji mjini Athens

Uharibifu uliofanywa na waandamanaji mjini Athens

Hakuna anayefahamu kwa dhati nini sababu ya hasira hizi za hasa vijana nchini Ugiriki ambazo zimeambatana na kuharibu mali za watu.

Sekione Kitojo alizungumza na mkaazi mmoja wa mjini Athens, Kayu Ligopora ambaye kwanza anatufahamisha hali ilivyo hadi sasa.
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com