1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ugiriki

Ugiriki ni nchi iliyopo kusinimashariki mwa Ulaya. Ugiriki ndipo ulipochimbukia ustaarabu wa nchi za Magharibi, halikadhalika ina urithi mkubwa wa kihistoria.