Ghasia nchini Ugiriki kufuatia kuuwawa kwa kijana mwenye umri wa miaka 15
8 Desemba 2008Matangazo
Kijana huyo aliuliwa na polisi mwishoni mwa wiki iliyopita.Wakati huohuo Waziri Mkuu wa Ugiriki Costas Cramanalis amesisitiza kuwa serikali yake inatia juhudi zote kumaliza vurugu hizo.
Ili kupata picha kamili huko Ugiriki Thelma Mwadzaya amezungumza na Kayu Ligopora mkaazi wa mji wa Athens.