Edward Lowassa apinga matokeo ya uchaguzi | Matukio ya Kisiasa | DW | 30.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Edward Lowassa apinga matokeo ya uchaguzi

Mgombea wa urais nchini Tanzania kwa tiketi ya UKAWA, Edward Lowassa, amesema yeye ndiye aliyeshinda urais na si mpinzani wake wa Chama cha Mapinduzi CCM, John Magufuli.

Sikiliza sauti 03:00

Ripoti ya George Njogopa kutoka Dar es Salaam

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com