Dr. Ali Mohamed Shein ameapishwa kuwa Rais wa Zanzibar
3 Novemba 2010
Rais mteule wa Zanzibar, Dr Ali Mohamed Shein ameapishwa rasmi leo hii kushika wadhifa huo kufuatia ushindi wake aliyoupata na chama chake cha ccm katika uchaguzi uliyofanyika Jumapili iliyopita.
https://p.dw.com/p/PxB4
Matangazo
Sherehe hizo zilifanyika katika uwanja wa amani mjini Unguja, na Othman Miraji alizungumza muda mfupi uliyopita na Mohamed Abdulrahman aliyeko huko .