1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Gabon

Gabon iliyoko kwenye pwani ya magharibi ya Afrika, ni mmoja ya mataifa yenye utulivu zaidi katika kanda hiyo. Tangu ilipopata uhuru kutoka kwa Ufaransa mwaka 1960, Gabon imetawaliwa na marais watatu tu.

Marehemu rais Omar Bongo alitawala Gabon kwa zaidi ya miongo nne hadi kifo chake mwaka 2009. Wakati wa utawala wa Bongo, Gabon iliendeleza uhusiano wa karibu na Ufaransa chini ya mfumo ujulikanao kama "Francafrique" ikipoeka msaada wa kifedha na kijeshi kwa kuipa Ufaransa upendeleo wa kibiashara. Lakini uhusiano huo umepoa tangu mtoto wake Ali alipowania uchaguzi mwaka 2009 na maafisa nchini Ufaransa kuanzisha uchunguzi katika mali za familia hiyo. Gabon ni mzalishaji mkubwa wa mafuta lakini theluthi moja ya raia wake wanaishi katika umaskini kulingana na benki ya dunia.

Onesha makala zaidi