1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Tunisia

Tunisia ambayo ni nyumbani kwa mji wa kale wa Carthage, ilikuwa mdau muhimu katika eneo la Mediterrani, kutokana na kuwepo kwake katikati mwa kanda ya Afrika Kaskazini, karibu na njia muhimu baharini.

Warumi, Waarabu, Waturuki wa Ottoman na Wafaransa walitambua umuhimu huo na hivyo kuifanya kuwa kituo kikuu cha udhibiti wa kanda. Utawala wa kikoloni wa Ufaransa ulimalizika 1956 na Tunisia iliongozwa na miongo mitatu na Habib Bourguiba. Mwaka 2011 maandamano makubwa ya umma yalimuondoa madarakani Ben Ali – ya kwanza katika mkururo wa maandamano ya umma yaliyoukumba ulimwengu wa mataifa ya Kiarabu. Kipindi cha mpito cha taifa kimekuwa cha amani kwa ujumla.

Onesha makala zaidi