1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Yemen

Yemen, ambayo rasmi inafahamika kama Jamhuri ya Yemen, ni nchi ya Kiarabu inayokutikana Magharibi mwa Asia, ikikalia sehemu ya kusini-magharibi na upande wa kusini mwisho wa rasi ya Arabuni.

Yemen ndiyo moja ya vituo vya zamani zaidi vya ustaarabu katika Mashariki ya karibu. Baadhi ya wasomi wanaamini kuwa Yemen ndiyo nchi pekee inayoednelea kuwa ya Kisemitiki, ikimaanisha kuwa Yemen hapo awali haikuwahi kuwa mtu asiyezungumza lugha ya semitiki. Ni nchi yenye historia ya machafuko, na mgogoro wake wa karibuni uliripuka baada ya Wahouthi Wa Kishia kuteka mji mkuu Sanaa na kumtimua rais Abd-Rabb Mansour Hadi, kabla ya Saudi Arabia kuingilia kati na kumrudisha madarakani.

Onesha makala zaidi