Chama cha siasa nchini Afrika Kusini cha COPE chazinduliwa rasmi | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 16.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Timu Yetu

Chama cha siasa nchini Afrika Kusini cha COPE chazinduliwa rasmi

Chama kipya cha siasa nchini Afrika Kusini cha Congress of the People (COPE), kilichojitenga na chama tawala cha African National Congress(ANC), kimezinduliwa rasmi.

Bw. Mosiuoa Lekota mwenyekiti wa chama cha COPE

Bw. Mosiuoa Lekota mwenyekiti wa chama cha COPE

Waziri wa zamani wa ulinzi wa nchi hiyo Mosiuoa Lekota amechaguliwa kukiongoza chama hicho.

Grace Kabogo alizungumza na Abdalah Nzabonimpa, mtangazaji wa Channel Africa nchini Afrika Kusini, naye alianza kwa kumueleza ni kwa nini baadhi ya viongozi wa ANC waliamua kujitenga na chama hicho na kuanzisha chama kipya cha COPE:
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com