1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

PLO

Chama cha ukombozi wa Wapalestina PLO kiliundwa mwaka 1964 kuongoza harakati za ukombozi wa Wapalestina kupitia mapambano ya kijeshi.

PLO inatambuliwa kama mwakilishi pekee halali wa Watu wa Palestina na mataifa zaidi ya 100, ambayo kina uhusiano nayo wa kidiplomasia, na kimekuwa kikipatiwa hadhi ya uangalizi katika Umoja wa Mataifa tangu 1974. PLO ilichujuliwa na Marekani na Israel kuwa kundi la kigaidi hadi mkutano wa Madrid wa mwaka 1991. Mwaka 1993 PLO ilitambua haki ya Israel kuwepo kwa amani, iliakubali maazimio nambari 242 na 338 ya Umoja wa Mataifa na kujiweka mbali na vurugu na ugaidi, na hii iliifanya Israel kukitambua chama hicho kama mwakilishi pekee wa watu wa Palestina.

Onesha makala zaidi