Bunge la Ujerumani kurefusha muda wa shughuli za wanajeshi wa ujerumani Afghanistan | Habari za Ulimwengu | DW | 12.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Bunge la Ujerumani kurefusha muda wa shughuli za wanajeshi wa ujerumani Afghanistan

Berlin:

Bunge la shirikisho Bundestag limeanza mjadala kuhusu kurefushwa muda wa shughuli za jeshi la Ujerumani Bundeswehr nchini Afghanistan.Wabunge wanatazamiwa kuupigia kura mchana huu mswaada wa serikali kuu kama shughuli hizo zirefushwe kwa mwaka mmoja au la.Kwa maoni ya mkuu wa kundi la wabunge wa chama cha SPD bungeni Peter Struck, shughuli za jeshi la Ujerumani zinaweza kudumu miaka kumi nchini Afghanistan.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com