BERLIN: Stoiber apinga kupeleka wanajeshi zaidi wa Kijerumani | Habari za Ulimwengu | DW | 18.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN: Stoiber apinga kupeleka wanajeshi zaidi wa Kijerumani

Waziri Mkuu wa jimbo la Bayer kusini mwa Ujerumani,Edmund Stoiber anapinga kupeleka wanajeshi zaidi wa Kijerumani nchini Afghanistan. Amesema,ikiwa vikosi vya Umoja wa Kujihami wa Mataifa ya Magharibi NATO,vinahitaji kuimarishwa basi kwanza ni mataifa mengine yanayowajibika kwani Ujerumani tayari inatoa mchango mkubwa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com