BERLIN: Merkel amualika Brown kutembelea Ujerumani | Habari za Ulimwengu | DW | 29.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN: Merkel amualika Brown kutembelea Ujerumani

Kansela wa Ujerumani,Angela Merkel amemualika waziri mkuu wa Uingereza,Gordon Brown kuitembelea Ujerumani atakapokuwa na nafasi ya kwanza kufanya hivyo.Kansela Merkel anatumaini kuwa chini ya uongozi wa Brown,serikali za Uingereza na Ujerumani zitaendelea kuwa na uhusiano wa karibu. Amesema,hilo hasa ni muhimu kwa Ulaya na uhusiano mzuri pamoja na Marekani.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com