Ajali mbili za ndege zaua watu 19 | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 23.03.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Timu Yetu

Ajali mbili za ndege zaua watu 19

Watu 17 wameuawa katika ajali mbili tofauti za ndege zilizokea huko Marekani na Japan

Watu 17 wakiwemo watoto wameuawa kutokana na ajali ya ndege iliyotokea kaskazini mwa jimbo la Montana nchini Marekani.


Msemaji ya idara ya Anga nchini humo amesema kuwa ndege hiyo binafsi ya injini moja ilikuwa ikisafiri kutoka Orville, California na ilianguka baada ya kutua mita 500 kabla ya barabara ya kurukia na kutua katika uwanja wa ndege wa Butte .


Huko nchini Japan, ndege ya mizigo ya kampuni ya FedEx iliyokuwa ikitokea Guangzhou, China imeanguka katika uwanja wa kimataifa wa Nakita jijini Tokyo na kuwaka moto ambapo marubaini wa wili waliyokuwemo wote wamekufa.


 • Tarehe 23.03.2009
 • Mwandishi Aboubakary Jumaa Liongo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/HHUt
 • Tarehe 23.03.2009
 • Mwandishi Aboubakary Jumaa Liongo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/HHUt
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com