ABUJA:40 wameshakufa kutokana na ghasia zinazoandamana na uchaguzi nchini Nigeria | Habari za Ulimwengu | DW | 16.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ABUJA:40 wameshakufa kutokana na ghasia zinazoandamana na uchaguzi nchini Nigeria

Watu zaidi ya 40 wamekufa kutokana na ghasia zilizoandamana na uchaguzi wa wabunge na magavana nchini Nigeria.

Matokeo ya awali yameonesha kuwa chama kinachotawala cha PDP kinaongoza katika majimbo sita kati ya manane ambapo kura zimehesabiwa .

Habari juu ya matokeo hayo zimesababisha ghasia katika mitaa kadhaa.Wapinzani wa serikali walichoma moto majengo na kuweka vizuizi barabarani.

Hatahivyo rais Olusegun Obasanjo amesema anatumai kuwa matokeo ya uchaguzi huo yatakuwa halali.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com