1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Nigeria

Jamhuri ya Shirikisho la Nigeria, maarufu zaidi Nigeria, ni nchi iliyoko kanda ya Afrika Magharibi. Inapakana na Benin, Chad, Cameroon na Niger. Pwani yake ya kusini iko kwenye ghuba ya Guinea katika bahari ya Atlantiki.

Nigeria inaundwa na majimbo 36 pamoja na eneo la makao makuu ya shirikisho unakokutikana mji mkuu Abuja. Nigeria ya sasa imekuwa eneo la falme kadhaa na mataifa ya kikabila katika kipindi cha milenia iliyopita. Taifa la sasa lilitokana na ukoloni wa Uingereza kuanzia karne ya 19 na kuunganishwa kwa mahamia ya Nigeria Kusini na mahamia ya Nigeria Kaskazini mwaka 1914. Ukurasa unakusanya maudhui za DW kuhusu Nigeria.

Onesha makala zaidi