1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.08.2017: Matangazo ya Mchana

Lilian Mtono
20 Agosti 2017

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan azidisha mashambulizi dhidi ya Ujerumani, Jeshi la Iraqi laanzisha operesheni ya kuukomboa mji wa Tal Afar na rais wa Iran Hassan Rouhani aahidi kulipa kipaumbele suala ya kulinda makubaliano ya mpango wa nyuklia.

https://p.dw.com/p/2iWhd