1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.11.2019 - Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S19 Novemba 2019

Umoja wa Ulaya umesema unaipinga kikamilifu sera ya makaazi ya walowezi ya Israel. Bunge la China limesema mahakama za Hong Kong hazina nguvu ya kuamua kuhusu masuala ya katiba. Uturuki imetishia kuanzisha tena mashambulizi kaskazini mashariki ya Syria.

https://p.dw.com/p/3THI6