Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Wizara ya ulinzi ya Urusi yasema vikosi vyake vimeuzingira mji wa Lysychansk+++Kansela Scholz ataka Wajerumani kuungana kukabiliana na hali ngumu ya uchumi+++Palestina yakabidhi risasi iliyomuua Abu Akleh kwa Marekani
Ukraine imesema vikosi vya Urusi vinalenga kukata umeme kwenye eneo la kusini mwa nchi hiyo kufuatia shambulio la kombora kwenye kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia.
Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani amefanya mkutano wake wa kwanza wa majira ya kiangazi na waandishi wa habari katika dakika 100 ambazo Christoph Strack anasema zilionesha jinsi kiongozi huyo anavyojiamini.
Vikosi vya jeshi la Ukraine vimesema vimekomboa zaidi ya makaazi 40 katika jimbo muhimu la Kherson, wakati ambapo Ukraine inatazamia kuyarejesha nyuma majeshi ya Urusi.
Huku uvamizi wa Urusi nchini Ukraine ukiendelea, uwezekano wa Wajerumani kukosa gesi ya kutosha katika majira ya baridi unaanza kuonekana kwenye vyombo vya habari, lakini Martin Muno anasema kuna fursa ndani yake.