Zoezi la kupiga kura Sudan laingia siku ya pili hii leo | Matukio ya Kisiasa | DW | 12.04.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Zoezi la kupiga kura Sudan laingia siku ya pili hii leo

Sudan leo imetakiwa kurefusha muda wa kupiga kura baada ya maelfu ya kura kuharibika kutokana na kupiga mahali ambapo si sahihi pamoja na vituo vya kupigia kura kuchelewa kufunguliwa katika maeneo mengi

Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, akijiandaa kupiga kura mjini Juba Jumapili April 11, mwaka huu

Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, akijiandaa kupiga kura mjini Juba Jumapili April 11, mwaka huu

Uchaguzi nchini Sudan umefanyika kwa siku ya pili hii leo, huku tume ya uchaguzi ikitangaza kurefusha zoezi la kupiga kura kwa siku mbili ili kuzuia kuwafungia raia kupiga kura kutokana na matatizo ya kiufundi. Josephat Charo alizungumza na bwana Ibrahim Himid, mkaazi wa mjini Khartoum, na kwanza kumuuliza hali ilivyo mjini humo.

Mtayarishaji: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 12.04.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/Muft
 • Tarehe 12.04.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/Muft
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com