1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Sudan

Sudan ni nchi iliyoko Kaskazini-Mashariki mwa Afrika. Inapakana na Misri, Bahari ya Sham, Eritrea, Ethiopia na Sudan Kusini, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Chad na Libya.

Sudan sasa ndiyo nchi ya tatu kwa ukubwa barani Afrika, baada ya kujitenga kwa Sudan Kusini mwaka 2011, ikizidiwa na Algeria na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Katika ukurasa huu utapata maudhui za DW kuhusu Sudan.

Onesha makala zaidi