Zanzibar yashangazwa na tahadhari iliotolewa na Marekani
1 Septemba 2009Matangazo
Hii ni kuhofia kutokea michafuko zaidi kutokana na mkwamo uliochomoza katika zoezi la kuwaandikisha watu katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao Visiwani Zanzibar hapo mwakani.
Punde hivi Othman Miraji alizungumza na waziri wa nchi katika ofisi ya waziri kiongozi wa serikali ya Zanzibar, Hamza Hassan Juma, kutaka kujua vipi serikali yake inavoichukulia tahadhari hiyo: