1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri wa Ushirikiano na Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza ziarani Rwanda

8 Januari 2009

Uingereza imesema Rwanda na nchi nyingine katika kanda zina jukumu kubwa kuhakikisha kuwa amani inapatikana mashariki mwa jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

https://p.dw.com/p/GUWM

Wito wa Uingereza umetolewa na waziri wake wa ushirikiano na maendeleo ya Kimataifa Douglas Alexander, ambaye amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda Paul Kagame mjini Kigali.

Taarifa zaidi na Daniel Gakuba kutoka Kigali.