Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga nchini Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga nchini Tanzania

Waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga alikuwa Tanzania kwa ziara ya kikazi tangu tarehe 24 mwezi huu, ziara ambayo imemalizika leo hii, ambapo pia alikuwa na mkutano na waandishi wa habari.

Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga

Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga


Christopher Bhuke alikuwepo katika mkutano huo na hii hapa ni taarifa yake.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com