Waziri Hillary Clinton kuzuru Afrika wiki ijayo. | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 28.07.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Waziri Hillary Clinton kuzuru Afrika wiki ijayo.

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton ataanza ziara ya nchi saba barani Afrika wiki ijayo.

default

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton anatarajiwa kuzitembelea nchi za Afrika wiki ijayo.

WASHINGTON:

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton anapanga kukutana na rais wa serikali ya mpito ya Somalia Sheikh Sharif Ahmed.Waziri Clinton atakutana na rais huyo wakati wa ziara yake ya nchi saba barani Afrika itakayoanza wiki ijayo.

Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imearifu kuwa waziri Clinton atakutana na kiongozi huyo wa Somalia mjini Nairobi wakati atakapohudhuria kikao cha mwaka cha masuala ya biashara baina ya Marekani na nchi za Afrika.


 • Tarehe 28.07.2009
 • Mwandishi Abdu Said Mtullya
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/IyVy
 • Tarehe 28.07.2009
 • Mwandishi Abdu Said Mtullya
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/IyVy

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com