1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Hillary Clinton

Hillary Diane Rodham Clinton ni mwanasiasa wa Marekani. Alikuwa waziri wa 67 wa mambo ya nje wa Marekani kuanzia 2009 hadi 2013. Kuanzia 2001 -2009, Clinton alikuwa Seneta wa Marekani kutoka New York.

Hillary ndiye mke wa rais wa 42 wa Marekani Bill Clinton. Ni mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha Democratic. Ukurasa huu unakusanya maudhui ya DW kuhusu Hillary Clinton.

Onesha makala zaidi