1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasanii wa Tanzania na siasa za uchaguzi

Saumu Yusuf1 Oktoba 2015

Leo Utamaduni na Sanaa inajikita Tanzania ambako hekaheka na mshikemshike wa kisiasa unaendelea na wasanii, hasa wa upande wa Tanzania Bara, wamejiingiza kikamilifu kwenye harakati za uchaguzi mkuu wa Oktoba 25.

https://p.dw.com/p/1GgAy