Wajumbe wa Maziwa Makuu wakutana mjini Nairobi kujadili swala la janga la maradhi ya Ukimwi | Masuala ya Jamii | DW | 24.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Wajumbe wa Maziwa Makuu wakutana mjini Nairobi kujadili swala la janga la maradhi ya Ukimwi

Nchi za eneo la maziwa makuu zinatafuta mikakati zaidi ya kukabiliana na janga la maradhi ya ukimwi katika eneo hilo.

Muathirika wa ugonjwa wa Ukimwi

Muathirika wa ugonjwa wa Ukimwi

Wajumbe kutoka nchi za eneo hilo wanakutana jijini Nairobi nchini Kenya katika kikao cha sita cha mpango wa kukabiliana na maradhi hayo unaojulikana kama Glia.


Mwandishi wetu wa Nairobi Alfred Kiti anatuarifu zaidi.
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com