Vurugu zatanda uchaguzi Zambia | Matukio ya Kisiasa | DW | 21.09.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Vurugu zatanda uchaguzi Zambia

Zoezi la kuhesabu kura nchini Zambia limekumbwa na vurugu na tuhuma za udanganyifu katika uchaguzi wenye ushindani mkali kati ya kiongozi wa upinzani, Michael Sata wa PF, na Rais Rupiah Banda wa chama tawala cha MMD.

Rais Rupiah Banda wa Zambia

Rais Rupiah Banda wa Zambia

Maryam Dodo Abdalla amezungumza na mwandishi wa habari, Harrison Ntuntu, ambaye alikesha usiku mzima akizunguka katika vituo mbali mbali vya upigaji kura kushuhudia zoezi hilo la kuhesabu kura.

Mahojiano: Maryam Dodo Abdalla/Harrison Ntuntu
Mhariri: Othman Miraji

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com