1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Zambia

Zambia, iliyoko kusini mwa Afrika, ni taifa linalozungukwa na nchi kavu lenye mandhari ya mawemawe na anuwai ya wanyamapori, ikiwa na mbuga nyingi na maeneo ya utalii.

Kwenye mpaka wake na Zimbabwe ndiyo yanakutikana maporomoko ya maji ya Victoria – yanayojulikana na wenyeji kama Mosi-oa-Tunya, au “Moshi una unaoshtusha sana” – yakishuka umbali wa mita 108 kwenye korongo jembamba la Batoka.

Onesha makala zaidi