Urafiki na ushirika wa kinadharia baina ya SPD ya Ujerumani na CCM ya Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 29.09.2008
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Urafiki na ushirika wa kinadharia baina ya SPD ya Ujerumani na CCM ya Tanzania

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM-Tanzania ziarani Ujerumani

Jengo la makao makuu ya Wakfu wa Friedrich Ebert mjini Berlin

Jengo la makao makuu ya Wakfu wa Friedrich Ebert mjini Berlin

Chama cha Social Democratic, SPD, cha hapa Ujerumani , na kile cha Mapinduzi, CCM, huko Tanzania ni vyama vya kirafiki vilivyo na ushirika wa miaka tangu ya sabini wakati wa viongozi wa vyama hivyo, Willy Brandt na Mwalimu Julius Nyerere. Kwa wiki moja iliopita alikuweko ziarani hapa Ujerumani katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM, John Zephania Chiligati, ambaye pia ni waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makaazi, kwa mwaliko wa Wakfu wa Friedrich Ebert wa chama cha SPD. Mgeni huyo wa kutoka Tanzania alitembelea jengo letu la Deutsche Welle, na Othman Miraji alifanya naye mahojiano. Kwanza waziri Chiligati alielezea vitu gani vinavowaunganisha wana CCM na Wa-Social Democratic...
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 29.09.2008
 • Mwandishi Othman, Miraji
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/FR0v
 • Tarehe 29.09.2008
 • Mwandishi Othman, Miraji
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/FR0v
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com