Ugonjwa wa Kipindupindu wazuka kwenye gereza la Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 24.11.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Ugonjwa wa Kipindupindu wazuka kwenye gereza la Kenya

Nchini Kenya wafungwa 9 wamefariki kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa kipindupindu katika gereza kuu la Kamiti lililoko katika wilaya ya Kiambuu.

Wafungwa wengine 59 wanapokea matibabu baada ya kuambukizwa ugonjwa huo. Jane Nyingi amezungumza kwa njia ya simu na naibu kamishna wa magereza nchini Kenya David Macharia na anaanza kwa kueleza hali ilivyo...

Mahojiano:Jane Nyingi

Mpitiaji: Mohamed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com