Uganda: Gulu ni shwari siku ya Uchaguzi | Matukio ya Kisiasa | DW | 18.02.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Uganda: Gulu ni shwari siku ya Uchaguzi

Tukiwa bado tunauangalia uchaguzi mkuu nchini Uganda, sasa tunaelekea katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo, ambalo kwa zaidi ya miaka 20 limekuwa katika mapigano ya waasi wa kundi la Lord's Resistance Army-LRA.

default

Wananchi wa Uganda wapiga kura hii leo.

Uchaguzi wa mwaka huu katika eneo hilo la kaskazini unafanyika kwa mara ya kwanza bila ya kuwepo kundi hilo la LRA. Hivi punde nilizungumza na Mwangalizi wa uchaguzi katika eneo la Gulu, Khalid Mussa ambaye anaanza kuelezea jinsi uchaguzi unavyofanyika kwa amani katika eneo hilo.

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Khalid Mussa

Mhariri: Othman Miraji

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com