Uchaguzi wa rais mpya wa Libanon umeahirishwa | Habari za Ulimwengu | DW | 30.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Uchaguzi wa rais mpya wa Libanon umeahirishwa

Bunge la Libanon kwa mara nyingine tena limeahirisha uchaguzi wa rais mpya.Rais wa bunge Berri amesema,serikali ya mseto inayoelemea kambi ya magharibi na upinzani unaoiunga mkono Syria zinahitaji muda zaidi kumtafuta mwanasiasa atakaekubaliwa na pande zote mbili.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com