Kitabu kinachomkashifu Rais wa Marekani Donald Trump chazidi kuzua mihemko Marekani//Marekani yashutumiwa kwa kuitisha mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili maandamano ya Iran//Umoja wa Mataifa kuanzisha uchunguzi kuhusu mauaji ya Wanajeshi 15 wa Tanzania waliouawa katika shambulizi nchini Congo.