1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
20 Mei 2018

https://p.dw.com/p/2y1MO

 

Marekani na China zimekubaliana kuacha vita vya kibiashara na vitisho vya kuongezeana ushuru, Wanadiplomasia wa Ulaya, Urusi na China watarajiwa kukutana kusaka muafaka juu ya kuyanusuru makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, Eintracht Frankfurt yaigaragaza Bayern Munich katika fainali ya kombe la shirikisho la soka Ujerumani.