1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Bayern Munich

Bayern Munich ni klabu maarufu ya kandanda ya Ujerumani, na moja wapo ya klabu zenye ushindani mkubwa barani Ulaya.

Ingawa sio mwanachama mwanzilishi wa ligi ya Bundesliga, klabu hiyo ndiyo inayoongoza na imefanikiwa kuishidia makombe kadhaa ya mashindano ya Ulaya. Ni wamiliki wa nusu ya mataji ya kinyanganyiro cha mashindano ya soka ya Bundesliga, tokea ligi hiyo ilipoanzishwa 1963. Halikadhalikani kalbu ya mwanzo ya Ujerumani kushinda kombe la Ulaya.

Onesha makala zaidi