1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 22.01.2022

Grace Kabogo
22 Januari 2022

Umoja wa Mataifa umelaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika gereza moja nchini Yemen//Marekani na Urusi zimekubaliana kushirikiana katika juhudi za kuupunguza mvutano kuhusu Ukraine//Ujerumani imewasilisha mpango wake wa urais wa kundi la nchi saba zilizoendelea zaidi kiuchumi duniani, G7 kwa kuangazia hali ya hewa

https://p.dw.com/p/45wS9