Spika wa Bunge la DRC Vitali Kamehre ajiuzulu | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.03.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Spika wa Bunge la DRC Vitali Kamehre ajiuzulu

Huko Katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baada ya mvutano wa muda mrefu, hatimaye spika wa bunge la nchi hiyo, Vitali Kamehre leo hii ametangaza kujiuzulu.

Kwa muda mrefu Spika huyo amekuwa katika mvutano mkubwa na Rais Joseph Kabila kutokana na hatua ya kiongozi huyo kuwaalika wanajeshi wa Rwanda kujiunga na jeshi la nchi hiyo kupambana na waasi wa Rwanda wa kundi la FDLR mashariki mwa Kongo.

Mwandishi wetu Salehe Mwanamilongo alioko Kinshasa amezungumza na mbunge wa chama tawala Ramadhani Shadari pamoja na mbunge wa upinzani wa chama cha MLC Francois Mwamba.Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 25.03.2009
 • Mwandishi Salehe Mwanamilongo - Mhariri Mohamed Abdulrahman
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/HJXM
 • Tarehe 25.03.2009
 • Mwandishi Salehe Mwanamilongo - Mhariri Mohamed Abdulrahman
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/HJXM
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com