1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya mwisho kwa upinzani Burundi kubatilisha msimamo kuhusu uchaguzi wa rais

Josephat Nyiro Charo7 Juni 2010

Viongozi wa vyama vya upinzani wameapa hawatabadili msimamo wao wa kutoshiriki katika uchaguzi wa rais nchini Burundi. Wanataka tume ya uchaguzi ivunjiliwe mbali

https://p.dw.com/p/NkAS

Hali ya kisiasa nchini Burundi bado ni tete na chama kingine cha upinzani kimejiunga na muungano wa vyama vya upinzani vinayvopanga kususia uchaguzi wa urais wa mwezi Juni mwaka huu ikiwa tume ya uchaguzi haitabadilishwa.

Peter Moss amezungumza na msemaji wa muungano huo Bwana Mugwengezo Shuvineu na nilianza kwa kumuuliza kuhusu mikakati ya muungano huo na mwelekeo wa sasa wa kisiasa nchini Burundi.

Mwandishi, Peter Moss, Mugwengezo Shuvineu

Mhariri, Othman Miraji.