Siku ya kimataifa ya utoaji wa huduma za kibinadamu yaadhimishwa leo | Masuala ya Jamii | DW | 19.08.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Siku ya kimataifa ya utoaji wa huduma za kibinadamu yaadhimishwa leo

Shirika la OCHA mjini Nairobi bado lakabiliwa na changamoto

Siku ya kimataifa ya utoaji wa huduma za kibinadamu imeadhimishwa leo kote ulimwenguni. Kauli mbinu ya mwaka huu ni "Mimi ni mfadhili, mtu mwenye huruma au ukipenda msamaria mwema." Josephat Charo amezungumza na Bi Luluwa Ali, afisa wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloratibu misaada, la OCHA, mjini Nairobi Kenya, kuhusu siku hii ya leo na kwanza alikuwa na haya ya kueleza.

Mwandishi: Josephat Charo

Mhariri: Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 19.08.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/Oro5
 • Tarehe 19.08.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/Oro5
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com