Shirika la EGAD lakutana mjini Nairobi kujadili hali ya Somalia
12 Aprili 2007
Mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo pembe ya Afrika,EGAD,wanakutana mjini Nairobi,Kenya, kujadili mikakati mbali mbali ya kuwezesha kupelekwa wanajeshi zaidi wa kuhifadhi amani nchini Somalia.
https://p.dw.com/p/CHGS
Matangazo
Vile vile mkutano huo wa siku 4 wa shirika hilo la EGAD unachunguza matatizo mbali mbali yalio kikwazo cha mpango huo.
Mwandishi wetu Mwai Gikonyo na ripoti kamili kutoka Nairobi.