Serikali ya Kenya imeteua wawakilishi katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki | Matukio ya Kisiasa | DW | 31.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Serikali ya Kenya imeteua wawakilishi katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki

Hatimaye serikali ya Kenya imeteua wawakilishi wake katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Uteuzi huo uligubikwa na vuta ni kuvute iliyochukuwa miezi sita baada ya vyama vya kisiasa nchini Kenya kutofautiana kuhusu atakayewakilisha nchi hiyo.Hatua hiyo ilipelekea kutoapishwa kwa wawakilishi wa mataifa mengine husika ya Uganda na Tanzania na kukwamisha shughuli za Jumuiya hiyo. Bunge la Afrika Mashriki EALA,lilifanya kikao chake cha kwanza mwezi Novemba mwaka 2001. Thelma Mwadzya alizungumza na Balozi Juma Mwapachu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Anaanza kuelezea walivyopokea taarifa hizo.
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com