RAMALLAH: Rais wa Wapalestina huenda akaitisha mapema uchaguzi | Habari za Ulimwengu | DW | 09.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

RAMALLAH: Rais wa Wapalestina huenda akaitisha mapema uchaguzi

Rais wa Wapalestina Mahmoud Abbas ataitisha mapema chaguzi za rais na bunge ikiwa atashindwa kuunda serikali mpya,kuchukua nafasi ya serikali ya Hamas inayosusiwa na nchi za magharibi.Yasser Abed Rabbo alie mwanachama wa baraza la maamuzi la chama cha PLO,alitamka hayo alipozungumza na waandishi wa habari,baada ya baraza hilo kushauriana hatua gani ichukuliwe na rais Abbas aliesema kuwa mazungumzo ya kuunda serikali ya umoja na Hamas yamekwama.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com