Rais Mwai Kibaki wa Kenya atangaza nyongeza ya mishahara kwa wanajeshi
24 Julai 2007
Ikiwa imesalia miezi mitano Kenya ifanye uchaguzi mkuu, kampeni kali za uchaguzi zimeanza na inaripotiwa kwamba rais mstaafu Daniel Arap Moi, amefanya mazungumzo ya faragha na Rais Mwai Kibaki kuhusu uchaguzi mkuu.
https://p.dw.com/p/CHAf
Matangazo
Sambamba na hayo, Rais Kibaki ametangaza nyongeza kubwa ya mishahara kwa wanajeshi.
Mwandishi wetu Mwai Gikonyo anaripoti kamili kutoka Nairobi.