Rais Kabila wa DRC awataka makundi ya wapiganaji eneo la Kivu kutekeleza mpango wa amani | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 19.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Timu Yetu

Rais Kabila wa DRC awataka makundi ya wapiganaji eneo la Kivu kutekeleza mpango wa amani

Rais Joseph kabila amewaomba wapiganaji wa CNDP na makundi mengine ya wapiganaji wa kivu kutekeleza mpango wa Amani.

Rais Joseph Kabila wa DRC

Rais Joseph Kabila wa DRC

Rais Kabila ametupilia mbali mazungumzo ya moja kwa moja na wapiganaji wa CNDP kama wanavyodai.Kwa wakati huohuo mandamano yanayopinga kuzuka upya kwa mapigano yamefanyika mjini Kinshasa,Kisangani na Bukavu.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo ana taarifa zaidi.
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com