NEW YORK:Mameya watoa mwito wa kupambana na joto | Habari za Ulimwengu | DW | 18.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NEW YORK:Mameya watoa mwito wa kupambana na joto

Mameya kutoka miji 30 ya dunia wamezitaka nchi nane tajiri duniani ziongeze juhudi katika kupambana na ongezeko la joto duniani.

Mameya hao wamesema hayo katika azimio walilopitisha mwishoni mwa mkutano wao mjini New York

Mameya hao wametoa mwito huo wakati ambapo viongozi wa nchi tajiri nane wanajitayarisha kukutana nchini Ujerumani mwezi ujao.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com